News Highlights |
 |
Welcome Message from President |
The Wesite is Under ConstructionRead more...
|
 |
SERIKALI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI WAPYA 1600 Date Posted:2013-04-16 08:57:02 |
 Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ya Zanzibar inatarajia kutoa mikopo kwa wanafunzi wapya 1600 kwa mwaka 2013/2014 ili kukabiliana na ongezeko la idadi kubwa ya wanafunzi wanaopata sifa za kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
Hayo yameelezwa jana katika kikao cha uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafun Read more... |
“NGUO FUPI SIO SABABU YA ONGEZEKO LA UKIMWI,” ASEMA WAZIRI JUMA DUNI Date Posted:2013-04-16 08:52:26 |
 Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni Haji, amesema kuwa tatizo la kuongezeka kwa maradhi ya ukimwi Zanzibar halitokani na uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake, bali jamii inashindwa kupambana na vita vya nafsi.
Waziri Haji, aliyasema hayo jana wakati akijibu suala la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi, Saleh Nass Read more... |
SERIKALI IWEKE MUONGOZO WA KUSIMAMIA MAJUKUMU YA SERIKALI ZA MITAA Date Posted:2013-04-15 22:38:54 |
 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeshauriwa kutoa muongozo rasmi juu ya majukumu ya serikali za mitaa, kwa lengo la kutatua migongano kati ya utendaji wa Masheha, Madiwani na baadhi ya watendaji wa serikali za mitaa katika kuongeza ufanisi wa utendaji wa kazi zao.
Ushauri huo umetolewa wakat Read more... |
VYOMBO VYA DOLA VIIMARISHE UDHIBITI WA MADAWA YA KULEVYA Date Posted:2013-04-12 21:02:42 |
 Jumla ya kesi sita za waingizaji wa dawa za kulevya zimeripotiwa zilizomhusisha mwanamke mmoja na wanaume watano ambapo watuhumiwa wanne wako rumande na kesi zao zinaendelea.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Kwanza Mhe. Fatma Fereji alieleza hayo wakati akijibu suala la Mhe. Saleh Nassor alietaka Read more... |
| Previous News |
|
|
|