Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Yazindua Kituo cha Upimaji wa Usikivu wa Watoto Wachanga
Waziri wa Afya wa Zanzibar,Mhe.Rashid Seif Suleiman amesema sikio, mdomo na macho ni sehemu muhimu sana katika maisha ya binaadamu hivyo unapokuwa na wataalamu wa kushughulikia viungo hivyo ni neema kubwa inayopaswa kuenziwa. Haya ameyasema jana katika Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar wakati wa uzinduzi wa kuwapima usikivu watoto wachanga mara baadaya kuzaliwa ili kujua matatizo yao. Amesema uchunguzi wa watoto wachanga kujua usikivu wao mapema ni mpango mzuri ambao utalisaidia Taifa kuwa na watoto wenye usikivu mzuri na njia rahisi ya kuwapatia matibabu kwa watakaogundulika na matatizo hayo. “Kujua tatizo la kiafya mapema na kuanza kulishughulikia kunapunguza gharama za matibabu hivyo nawanasihi wazazi kuwapeleka watoto wenu mara baada ya kujifungua, ”alisisitiza Waziri wa Afya. Amesema maradhi ya usikivu yamekuwa yakiwasumbua watoto wengi Zanzibar na iwapo kila mzazi atatimiza wajibu wake wa kumpeleka mtoto wake kupata vipimo yataweza kupungua. Waziri wa Afya aliwataka wazazi kuwa na utamaduni wa kuzalia Hospitali ili kupata huduma hiyo kwa urahisi na watakaozalia majumbani kuwapeleka watoto wao kuchunguzwa usikivu mara baada ya kuzaa. Aidha Waziri huyo aliwataka madaktari waliopatiwa mafunzo ya kutoa huduma hiyo kuwa waadilifu katika kutekeleza kazi zao kwani huduma za watoto wachanga na wazazi zinahitaji uvumilivu. Waziri alisema tatizo la uskivu huazia mtoto anapochelewa kulia mara baada ya kuzaliwa ama wanapopata homa ya manjano, kutopatiwa chanjo, mzazi kuchelewa kuzaa baada ya uchungu wa muda mrefu na kuzaliwa mtoto bila ya ya kufika muda wa kuzaliwa. Nao madaktari walio patiwa mafuzo hayo walisema kuwa wana uwezo mzuri wa kuwapima usikivu watoto na kubaini matatizo yao na kuishauri Serikali kuandaa utaratibu mzuri wa kuwafikia watoto watakaozaliwa vijijini. Mradi huo wa kupima watoto usikivu ulipokea msada wa vifaa vya kisasa vya uchunguzi kutoka Jumuiya ya Madaktari wanotoa huduma za matibabu vijijini ( ZOP) ambavyo vina thamani vya Dola elfu 50 za kimarekani.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo