Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Maalim Seif akutana na Rais wa Global Peace Foundation
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar inaunga mkono juhudi zinazochukuliwa na taasisi ya Kimataifa ya Global Peace Foundation katika kuhimiza amani na utulivu Duniani. Maalim Seif amesema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na ujumbe kutoka jumuiya hiyo, ulioongozwa na Rais wake, James Flynn huko ofisini kwake Migomnani mjini Zanzibar. Amesema Dunia inakabiliwa na matukio mengi yanayo hatarisha amani na utulivu, hivyo mchango wa jumuiya hiyo ni muhimu katika kupatikana ufumbuzi wa migogoro hiyo na kuwezesha watu kuishi katika hali ya utulivu na kuvumiliana. Maalim Seif amesema kwa upande wa Zanzibar kuna kila sababu ya kujivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana kwa watu wake kuishi kwa kuvumiliana, licha ya kuwepo watu wenye imani tafauti za kidini, na itikadi za kisiasa. Hata hivyo, Maalim Seif alihimiza juhudi kubwa zichukuliwe kuimarishwa uchumi wa nchi na kuandaliwa mazingira yatakayowezesha kupatikana ajira za kutosha kwa vijana na kuwaletea matumaini mema katika maisha yao. Amesema hatua hizo zitawaepushia kuchukua maamuzi yasiyokuwa ya busara yanayosababishwa na vijana kupoteza mweleko wa kimaisha ambapo matokeo yake ni amani na utulivu wa nchi kuvurugika. Naye Rais wa Jumuiya hiyo, James Flynn amesema nguvu kubwa wanazielekeza kusaidia ujenzi wa familia zinazozingatia maadili mema, pamoja na kushirikiana na Serikali za nchi tafauti kusimamia utawala bora ambao una umuhimu wa kipekee katika kudumishwa amani na utulivu.
Official Reports
A Bill for an Act to repeal the Zanzibar Electoral Commission Act, No. 9 of 1992-Date Posted: 17-02-2017
Mswada wa Sheria ya kufuta Sheria ya Tume ya Uchaguzi Nam, 9 ya 1992-Date Posted: 17-02-2017
HOTUBA YA MAONI YA KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA KUHUSIANA NA MSWADA WA SHERIA YA KUFUTA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI NAM.9 YA 1992 NA KUTUNGA SHERIA YA KUANZISHA AFISI YA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR-Date Posted: 17-02-2017
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. AL HAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA BARAZA LA IDD EL FITRI JULAI, 2016 (1 SHAWWAL, 1437)-Date Posted: 07-07-2016
Hotuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017. -Date Posted: 20-05-2016

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo