Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
UCHUKUAJI WA FOMU YA UTEUZI WA KUGOMBANIA URAIS WA ZANZIBAR
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeanza utaratibu wa kutoa fomu za uteuzi wa wagombea kwa nafasi za Urais,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani walioteuliwa kihalali katika vyama vyao. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar. Mh.Jecha Salim Jecha leo tarehe 17.08.2015 kwa nyakati tofauti amekabidhi fomu hizo kwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya TADEA Bw. Juma Ali Khatibu na Mgombea wa Urais wa Chama cha AFP Bw. Said Soud Said katika hafla iliyofanyika huko hoteli ya Bwawani. Akizungumza kabla ya kuwakabidhi fomu hizo Mh.Jecha amewasisitiza wagombea hao kufuata utaratibu maalum uliowekwa wa ujazaji wa fomu hizo na kuandika taarifa zao kwa usahihi ili kuiondoshea usumbufu Tume wakati wa kufanya kazi zake. Amefahamisha kuwa kila Mgombea kwa tiketi ya urais atalazimika kutafuta wadhamini wasipungua mia mbili (200) kwa kila mkoa na kulipia kiasi cha shilingi milioni mbili wakati wa kuzirejesha fomu hizo. Aidha wagombea hao wamesema lengo lao ni kudumisha amani iliyokuwepo na kuhakikisha kila mwananchi anapata maisha bora. Nae Afisa uandikishaji Wilaya ya Magharibi Nd. Ali Rashid Suluhu leo amekabidhi fomu za uteuzi wa wagombea wa nafasi za Uwakilishi na Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Magharibi A na B huko ofisini kwake Maisara Mjini Zanzibar. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar inaendelea kukabidhi fomu za uteuzi kwa wagombea wa nafasi mbali mbali wa vyama vya siasa nchini ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo