Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu na Mawaziri Wasiokuwa na Wizara Maalum.
Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu na Mawaziri Wasiokuwa na Wizara Maalum. Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42, 43, 44 na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ameunda Wizara 13 za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuwateua Mawaziri na Naibu Mawaziri wa Wizara hizo pamoja na Mawaziri Wasiokuwa na Wizara Maalum na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi kama ifuatavyo:- 1. Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi - Mhe. Issa Haji Ussi Gavu. 2. Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora: i. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Mhe. Haroun Ali Suleiman. ii. Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Mhe. Khamis Juma Maalim. 3. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ - Mhe. Haji Omar Kheri 4. Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais - Mhe. Mohammed Aboud Mohammed 5. Wizara ya Fedha na Mipango: Waziri wa Fedha na Mipango – Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed 6. Wizara ya Afya i. Waziri wa Afya - Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ii. Naibu Waziri wa Afya- Mhe. Harusi Said Suleiman 7. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali i. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali –Mhe. Riziki Pembe Juma ii. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri. 8. Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto: Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana,Wanawake na Watoto - Mhe. Moudline Castico 9. Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko - Mhe. Balozi Amina Salum Ali 10. Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji: i. Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji – Mhe. Balozi Ali Abeid A. Karume ii. Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji - Mhe. Mohammed Ahmed Salum 11. Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi: i. Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi – Mhe. Hamad Rashid Mohammed ii. Naibu Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi - Mhe. Lulu Msham Abdulla 12. Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo: i. Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo – Mhe. Rashid Ali Juma ii. Naibu Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo - Mhe. Bibi Choum Kombo Khamis 13. Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira: i. Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira – Mhe. Salama Aboud Talib ii. Naibu Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Mhe. Juma Makungu Juma Aidha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na Mawaziri Wasiokuwa na Wizara Maalum: i. Mhe. Said Soud Said – Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum ii. Mhe. Juma Ali Khatib – Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum. Uteuzi huo umeanza tarehe 9 Aprili 2016. Waheshimiwa wote waliotajwa wanaombwa wafike Ikulu Mjini Zanzibar Jumapili tarehe 10 Aprili 2016 saa 3 kamili za Asubuhi kwa ajili ya kuapishwa.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo