Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Dkt.Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Manaibu na Makatibu Wakuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo: 1. OFISI YA RAIS NA MWEYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI I. Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi – Dkt. Abdulhamid Y. Mzee II. Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi – Nd. Salum Maulid Salum III. Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi – Nd. Salmin Amour Abdulla 2. OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ I. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ – Nd. Radhia Rashid Haroub II. Naibu Katibu Mkuu, Ofis ya Rais, Tawala za Mikoa , Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ – Nd. Kai Bushir Mbarouk 3. OFIS YA RAIS, KATIBA, SHERIA, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA I. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Nd. Asha Ali Abdulla II. Naibu Katibu Mkuu, Ofis ya Rais, Katiba Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora anaeshughulikia masuala ya Utumishi wa Umma – Nd. Yakout Hassan Yakout III. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora anaeshughulikia masuala ya Katiba, Sheria na Utawla Bora – Nd. Kubingwa Mashaka Simba. 4. OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS i. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais – Nd. Joseph Abdulla Meza ii. Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Nd. Ahmed Kassim Haji 5. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango – Nd. Khamis Mussa Omar II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango – Nd. Ali Khamis Juma. 6. WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO i. Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko – Nd. Bakari Haji Bakari 7. WIZARA YA AFYA I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya – Dkt. Juma Malik Akili II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya – Nd. Halima Maulid Salum III. Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya – Dkt. Jamala Adam Taib 8. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali – Nd. Khadija Bakari Juma II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali anaeshughulikia masuala ya Mipango na Uendeshaji - Nd. Abdulla Mzee Abdulla III. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - anaeshughulikia masuala ya Taaluma - Nd. Madina Mjaka Mwinyi 9. WIZARA YA ARDHI, MAJI, NISHATI NA MAZINGIRA I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira - Nd. Ali Khalil Mirza. 10. WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi – Nd.Juma Ali Juma II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi – Nd. Maryam Juma Abdulla 11. WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI, WAZEE, VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto – Nd. Fatma Gharib Bilal II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto – Nd. Maua Makame Rajab 12. WIZARA YA HABARI, UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo – Nd. Omar Hassan Omar II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo – Dkt. Amina Ameir Issa 13. WIZARA UJENZI, MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI I. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji - Nd. Mustafa Aboud Jumbe II. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji- Nd. Shomari Omar Shomari Uteuzi huo umeanza tarehe 18 Aprili 2016.Viongozi wote hao waliotajwa wanatakiwa wafike Ikulu kesho saa 8:30 za mchana tayari kwa kuapishwa.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo