Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Serikali ya Kuwait kutoa Bil 84/- kwa ajili ya matengenezo makubwa Hospitali ya Mnazimmoja
Serikali ya Kuwait itayafanyia matengenezo makubwa majengo yote makongwe ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja, mradi utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 84 za Tanzania. Akizungumza na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Ofisini kwake Mnazimmoja, Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasim Al-Najim alisema Serikali ya nchi yake tayari imekubali kutekeleza mradi huo haraka iwezekanavyo. Alisema timu ya wataalamu kutoka Kuwait inatarajiwa kuwasili Zanzibar mwezi Ogasti kwa ajili ya kufanya uchunguzi yakinifu na kazi za matengenezo ya Hospitali zitaanza mara tu baada ya wataalamu hao kumaliza kazi hiyo. Aliongeza kuwa kufanikiwa kwa mradi huo mkubwa utafungua milango kwa Serikali ya Kuwait kupitia Mashirika ya misaada ya nchi hiyo kusaidia miradi mengine midogo midogo na vifaa kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya Afya na sekta nyengine za kiuchumi na kijamii. Balozi Al-Nagim alisema hatua hiyo ni kuonyesha umoja, ushirikiano na mapenzi ya dhati yaliopo kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Kuwait. Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo aliishukuru Serikali ya Kuwait kwa kukubali kutekeleza mradi huo mkubwa ambao utawasaidia wananchi wote wa Zanzibar. Aidha alizishukuru Wizara za Fedha za Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, ambazo zilikubali kutekelezwa kwa mradi huo ndani ya Wizara ya Afya. Balozi Al-Najim alipata nafasi ya kutembelea baadhi ya wodi za kulaza wagonjwa na sehemu ya kuhifadhia maiti ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja, ambapo kutokana na kuguswa na sehemu hiyo, alisema itakuwa ya kwanza kufanyiwa matengenezo mradi huo utakapoanza.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo