Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
SMZ kupandisha mishahara
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kufanya marekebisho ya mishahara kwa wafanyakazi wa kipato cha chini kutoka shilingi laki moja na nusu (150,000/=) hadi laki tatu (300,000/=) kuanzia mwezi Aprili mwaka ujao. Waziri wa Fedha, Dkt Khalid Salum Mohamed amesema sambamba na kupandisha kima cha chini cha mshahara Serikali pia itapunguza kodi katika kipato cha mshahara na kuweka sawa na kile cha Taanzania Bara. Akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Mkutano wa pili wa Baraza la tisa Baraza , Mheshimiwa Khalid amesema Serikali pia itafanya marekebisho ya kodi ya mapato kwa kupunguza kiwango wanachotozwa wananchi wa chini kutoka asilimia 13 ya sasa hadi kufikia asilimia tisa. Mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2016/2017 yamelenga kuandaa miradi michache yenye tija ambayo ni kipaumbele kwa huduma za kimajii na mageuzi ya kiuchumi pamoja na kupunguza utegemezi wa ruzuku na misaada kutoka nnje. Katika mwaka 2016/2017 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekadiria kutumia shilingi 841.5 Bilioni ambapo kipaumbele ni kuimarisha huduma za afya, utawala bora, elimu na miundombinu, kilimo , maliasili ,mifugo na uvuvi.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo