Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, Afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Manaibu Katibu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za serikali. Wateule hao ni Dk. Juma Yakout Juma kuwa naibu Katibu Msaidizi wa Baraza la Mapinduzi na Mwadini Makame Haji kuwa Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala bora, walioteuliwa ni Abdulla Issa Mgongo kuwa Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti na Shaibu Ally Mwazema kuwa Mkurugenzi wa Miundombinu ya Taasisi, Utumishi na Maslahi ya watumishi. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Khalid Omar Abdulla anakuwa Mkurugenzi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakati Mashaka Hassan Mwita ameteuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Magharibi A. Katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Issa mlingoti Ally anakuwa Mratibu Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za SMZ Dar es salaam, Ameir Makame Ussi, Mkurugenzi Idara ya Mipango, Sera na Utafiti na Khalid Bakari Amran, Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali. Wengine ni Riziki Daniel Yussuf aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Idara ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa huku Ali Salim Matta akipewa nafasi ya Ofisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba. Wizara ya Afya walioteuliwa ni Ramadhan Khamis Juma kuwa Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti na Ofisa Mdhamini Pemba ni Ali Bakari Ali. Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Haji Hamid Saleh anakuwa Mkurugenzi Umwagiliaji Maji. Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, ni Dk. Omar Abdulla Adam anakuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni. Katika Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, walioteuliwa ni Abdulla Mwinyigogo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba na Ramadhan Mussa Bakari kuwa Mkurugenzi wa Wakala wa Majengo, ambapo Omar Ali Omar Bhai anakuwa Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali. Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira, walioteuliwa ni Tahir M. K. Abdulla kuwa Naibu Katibu Mkuu, na Hemed Salim Hemed anakuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Huduma za Maji na Nishati (ZURA). Nana Mwanjisi ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko. Imetolewa na idara ya habari maelezo-zanzibar
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo