Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Mhe: Dk.Shein atuma Salamu za rambi rambi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo na maafa mengine vilivyotokana na tetemeko la ardhi lililotokea jana Septemba 10, 2016 majira ya laasiri katika Mkoa wa Kagera pamoja na maeneo mengine ya jirani. Kufuatia tukio hilo Rais wa Zanzibar anaungana na familia zote zilizopoteza ndugu, jamaa na marafiki na anawaombea marehemu wapumzishwe mahala pema panapostahiki na awape subira ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu hao katika kipindi hiki kigumu. Aidha, Dk. Shein amewaombea kwa Mwenyezi Mungu majeruhi wote walioathirika kutokana na tetemeko hilo wapone haraka na kurejea katika hali zao za kawaida ili waweze kufanya shughuli zao za kila siku kwa manufaa yao na taifa kwa jumla. Wananchi wa Zanzibar wanaungana Mkuu wa Mkoa wa Kagera, wananchi wake pamoja na Watanzania wote kwa jumla katika kuomboleza msiba huo.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo