Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Oman yaonesha nia ya kulikarabati jengo maarufu la Beit al Ajaib (House of Wonders)
Ufalme wa Oman umeonesha nia ya kukarabati majengo ya makubusho ya kale ya Beit Al Jaib maarufu kama “ House of Wonders” yaliyopo mjini Unguja – Zanzibar. Nia hiyo imeoneshwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Bw. Yusuf bin Alawi bin Addullah wakati alipokutana na kufanya mazugumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt, Augustine Mahiga. Mazungumzo baina ya viongozi hao wawili yalifanyika pembezoni mwa Mkutano wa 71 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambapo Mawaziri hao walikuwa wakiongoza ujumbe wa Nchi zao. Mazungumzo ya Mawaziri hao yalijikita katika uimarishwaji wa uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika majadiliano hayo ambapo pamoja na mambo mengine, Waziri Mahiga aliomba serikali ya Oman kuangalia uwezekano wa kuanzishwa kwa miradi wa kutunza mambo ya kale zikiwamo nyaraka muhimu zinazohusu uhusiano baina ya nchi hizo mbili Waziri Mahiga alieelezea pia hali uchakavu wa majengo ya Beit Al Jaib ( House of wonders) majengo yaliyokuwa Ikulu ya utawala wa Kifalme, Zanzibar. Makubusho hayo yamesheheni historia ya uhusiano na ushirikiano kati ya Zanzibar na Sultanate of Oman na Afrika Mashariki kwa Ujumla. Na kutokana na historia hiyo na umuhimu wa jengo hilo ambalo limejengwa mwaka 1883, Waziri ameiomba Serikali ya Oman kuangalia uwezekano wa kulihifadhi jingo hilo ambalo pia ni kivutio kikubwa cha utalii. Akijibu ombi hilo na mengine yaliyowasilishwa na Waziri Mahinga, Waziria wa Mambo ya Nje wa Oman, Bw . Yusuf bin Alawi bin Addullah amemtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuandaa andiko na kuliwasilisha katika Serikali ya Oman ili pendekezo hilo liweze kufanyiwa kazi pamoja na mapendekezo mengine. Katika hatua nyingine, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga amekuwa na kuwa na mazungumgo na Bi. Linda Thomas Greenfield, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayehusika na masuala ya Afrika. Mazungumzo ya Waziri Mahinga na Bi. Linda Greenfield yalijikita zaidi katika uhusiano na ushirikiano baina ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Marekani.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo