Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziko Pembe Afungua Mkutano wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa Zilizoko Katika Mradi wa Eco Schools
Waziri ya elimu na mafunzo ya amali Zanzibar imesema itahakikisha ushirikiano zaidi unatolewa baina ya walimu na wadau katika mradi wa ikolijia maskulini (Eco schools) ili kufikia lengo lililokusudiwa. Waziri wa elimu na mafunzo ya amali Zanzibar, Riziki Pembe Juma aliyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tatu wa kimataifa wa nchi za visiwa duniani zilizomo kwenye mradi wa "Eco schools". Aidha alisema ushirikiano huo atahakikisha unatolewa katika sekta za umma na binafsi ili kila moja iwe na mchango katika mradi huo. Alisema Wizara pia itashirikiana na wadau hao ili kuhakikisha program inapata wataalam na vifaa vinavyostahili kwani jukumu la kulinda mazingira ni la wote. Alifahamisha kuwa programu ya Eco ina lengo la kuwawezesha wanafunzi, vijana na watoto kuwa na wajibu wa kuyaenzi Mazingira. Nae Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Vijana Elimu na Mazingira, (ZAYEDESA) mama Shadya Karume alisema ipo haja kwa walimu wa maskuli mbali mbali kuubeba mradi huo hasa skuli za Serikali kwa kuwaelimisha wanafunzi wayatunze mazingira ili itunzwe hali ya hewa na ardhi ya nchi hii. Alisema endapo mazingira yatatunzwa, nchi itakuwa na uwezo wa kuzalisha chakula hata katika maeneo ya skuli kwa kupanda vyakula kwa kuwa mazingira ndio sehemu ya maisha. Hata hivyo Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya kusimamia mazingira, (ZEMA) Sheha Mjaja Juma alisema suala la uhifadhi wa mazingira linafanana na nchi mbali mbali duniani hasa suala la udhibiti wa taka. Sambamba na hayo alisema changamoto kubwa katika mazingira ni uchukuaji mali asili zisizorejesheka kutokana na uelewa mdogo wa jamii. Mradi wa Ikolojia katika skuli za ukanda wa bahari ya Hindi maarufu kama "Eco Schools" unaratibiwa na Kamisheni ya Bahari ya Hindi (IOC) chini ya ufadhili wa Jumuiya ya Ulaya (EU), uliletwa nchini na Wizara ya Ardhi Maji Nishari na Mazingira nakuratibiwa na Jumuiya ya Mandeleo ya Vijana, Elimu na Mazingira, Zanzibar (ZAYEDESA) chini ya utekelezaji wa kamati ya kitaifa ya ZNSC iliyozishirikisha taasisi mbalimbali za umma na binafsi kwa ushirikiano na Wiraza ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo