Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Kero za Muungano kuorodheshwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameziagiza Wizara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Mawaziri, Watendaji Wakuu pamoja na Wataalamu wao kufanya uchambuzi wa kuorodhesha mambo ambayo yanaonekana kuleta changamoto kuhusu kero za Muungano. Alisema orodha ya uchambuzi huo katika kila Sekta baadaye unapaswa kuwasilishwa katika Kamati ya Sekriterieti ya Vikao hivyo iliyo chini ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akikiongoza Kikao cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ kilichofanyika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kupokea mambo ambayo tayari yamekubalika kutekelezwa katika Vikao vya Kamati ya pamoja ya SMT na SMZ kuhusu kero za Muungano. Alisema kazi iliyopo hivi sasa kwa Watendaji wa Kamati hiyo ya pamoja kwa upande wa Zanzibar ni kukumbushana kwa nia ya kutafuta mapungufu yaliyojitokeza ndani ya utekelezaji wa kero za Muungano hasa ikizingatiwa zaidi mabadiliko ya Uongozi yaliyojitokeza ndani ya Wizara za Serikali. Naye Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed alieleza kwamba suala lolote wanalolihisi Mawaziri hao linafaa kuwa agenda ni vyema likawasilishwa mapema kwenye Kamati ya Sekriterieti. Waziri Aboud alisema hatua hiyo itawapa fursa Watendaji wa Sekriteriet hiyo kuyapitia masuala hayo na kuyapa upendeleo wa kuingizwa katika agenda za Vikao vinavyotarajiwa kushirikisha Wajumbe wa Kamati ya Pamoja na pande hizo mbili. Mapema akitoa Taarifa ya Kikao hicho Katibu wa Kamati ya Sekriteriet ya Kero za Muungamo ambae pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Joseph Abdulla Meza alisema Kamati hiyo tayari imeshafanya tathmini ya vikao vilivyopita. Katibu Mkuu Meza alisema uchambuzi wa tathmini hiyo utaweza kuwasaidia Wajumbe wapya wa Kamati hiyo katika kujadili kwa kina masuala yanayohusu Changamoto za Muungano. Wakichangia agenda hizo baadhi ya Washiriki wa Kikao hicho walipendekeza kuwepo kwa uelewa wa pamoja wa Washiriki hao katika kujadili masuala ya changamoto za Muungano ambao ndio njia rahisi ya upatikanaji wa ufanisi wa haraka. Kikao cha Mwisho cha Kamati ya pamoja ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar cha kujadili Kero za Muungano chini ya Mwenyekiti wake Makamu wa Rais wa Muungano kilifanyika Mjini Dodoma Mnamo Tarehe 23 Juni mwaka 2013. HABARI
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo