Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Balozi Seif Awasili Zanzibar Akitokea Ziarani Nchini China
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kukamilika kwa ujenzi wa miradi mitatu inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutafungua fursa pana ya ajira hasa kwa Vijana pamoja na kuimarika kwa ufanisi wa kazi katika Taasisi za Umma na hata zile Binafsi. Akizungumza na Waandishi wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa Nchini mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Nchini China kwa ziara ya siku Tano ya Kiserikali Balozi Seif aliitaja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa Bandari ya Mpiga Duri, kukamilika kwa eneo la maegesho ya ndege pamoja na Mawasialiano Serikalini { E. Government }. Alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kukamilisha taratibu zilizobakia katika hatua za mwisho kwa ajili ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa eneo la maegesho ya Ndege kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar. Balozi Seif alisema Zanzibar kupitia miradi hiyo itaongeza mapato yake kupitia Sekta ya Utalii, harakati za Kibiashara nah ii itatokana na ongezeko kubwa la idadi ya watalii na wageni watakaoamua kutumia huduma hizo za usafiri wa uhakika. Akizungumzia Mradi wa Mawasiliano Serikalini { E - Government } Balozi Seif alisema kukamilika kwa mradi huo awamu ya Pili kwa hatua ya kuunganishwa na mfumo wa Mtandao wa Kisasa utawawezesha Wananchi kupata huduma kwa njia ya mawasiliano. Alisema Wananchi watapata kuhudumiwa moja kwa moja kwa mfumo wa Internet kwenye sekta za Afya, Elimu pamoja na urahisishaji wa ukusanyaji wa Mapato ya Serikali Kuu.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo