Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Wizara ya Afya Zanzibar Yaandaa Semina ya Mapitio ya Mradi wa Maradhi Yasiopewa Kipaumbele Iliofanyika Katika Ukumbi wa Hoteli ya Visital Inn Jambiani.A
Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo cha maradhi ya yasio pewa kipaumbele (kichocho,matende, na Vikope) kimo katika harakati za kuyatokomeza kabisa maradhi hayo katika maeneo ya Zanzibar. Hayo yamesemwa leo huko Mkoa wa Kusini Unguja katika HOTELI ya visital inn Jambian na Dr.Khalifan Abdalla Mohamed wakati wa semina ya mapitio wa mradi huo uliomaliza muda wake wa kutokomeza maradhi hayo . Amesema maradhi ya kichocho na matende yaliathiri sana wananchi wa visiwa vya zanzbar katika miaka ya thamanini na kupelekea wengine kupata maradhi ya matende hadi hii leo jambo ambalo kwasasa maradhi hayo yanaonekana kutoweka kutokana na jitihada za Serikali na washirika wake wa maendeleo kulivalia njuga tatizo hilo. Amesema kwa sasa hali hiyo inaridhisha kwa kiasi kikubwa na sehemu zilizobakia ni chache kulitokomeza tatizo hilo “Tuna tarajia kuyamaliza maradhi ya kichocho na matende kwani imekuwa nadra kupokea wagonjwa wa maradhi haya ispokuwa ni wale wale wagonjwa wa zamani tu walioathirika na matende,kichocho,na yapo baadhi ya maeneo ambayo hayajamalizika maradhi hayo katika maeneo ya gamba,kinyasini,moga,kizimkazi na kwa Pemba ni maeneo ya micheweni ”alisema DR Khalifan. Nae Mwenyekiti wa mradi huo wa kutokomeza maradhi hayo kutoka Nchini geneva katika Shirika la Global Schistosomiasis Alliance Dr Lorenzo Savioli amesema mapitio ya semina hiyo ni kuangalia vipi kuisaidia Zanzibar kwa kuwapatia madawa na kufikia lengo la kuyatokomeza kabisa maradhi hayo. Amesema wananchi wazitumie dawa hizo kwa rika zote na hazina matatizo yoyote bali zinapoza zaidi maradhi mengine kama vile mapele mabaka na mipasuko mwilini. Alisema wazitumie dawa hizo na nifrusa kwao ,kwani nchini kwao dawa hizo ni ghali mno . Nae mkurugenzi wa Maendeleo ya maji Zanzibar Mohammed Eliasa Mohammed alisema katika kuondoa tatizo la kichocho Zanzibar ni kuhakikisha kupeleka maji safi na salama katika maeneo yote ya zanzbar ili wananchi waweze kutumia maji safi na kuacha kutumia maji ya mito na mashimo. Aidha alisema wanalazimika maji kuyatia dawa yakuulia vimelea vya maradhi hayo ili visiwe na nafasi ya kuathiri wananchi wanapo yatumia.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo