Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein amewasili nchini Indonesia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (I0RA), akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli. Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Indonesia, Soekarno- Hatta, Mheshimiwa Dk. Shein alipokelewa na miongoni mwa viongozi wakuu wa nchi hiyo Airlangga Hartarto pamoja na viongozi wengine wa nchi hiyo. Mkutano huo wa siku tatu umeanza tarehe 05 Machi na unatarajiwa kumaliza tarehe 07 Machi mwaka huu, mjini Jakarta Indonesia ambao umetanguliwa na vikao vya Mawaziri na wadau wengine kutoka nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ya nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (IORA). Dk. Shein amefuatana na viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Balozi Amina Salum Ali, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa, Haji Ussi Gavu, Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Hamad Rashid Mohammed, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afika Mashariki, Dk.Susan Alphonce Kolimba. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi na Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa, Uchumi na Uwekezaji Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa pamoja na watendaji wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kurejea nchi tarehe 9 Machi, 2017.
Official Reports
A Bill for an Act to repeal the Zanzibar Electoral Commission Act, No. 9 of 1992-Date Posted: 17-02-2017
Mswada wa Sheria ya kufuta Sheria ya Tume ya Uchaguzi Nam, 9 ya 1992-Date Posted: 17-02-2017
HOTUBA YA MAONI YA KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA KUHUSIANA NA MSWADA WA SHERIA YA KUFUTA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI NAM.9 YA 1992 NA KUTUNGA SHERIA YA KUANZISHA AFISI YA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR-Date Posted: 17-02-2017
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. AL HAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA BARAZA LA IDD EL FITRI JULAI, 2016 (1 SHAWWAL, 1437)-Date Posted: 07-07-2016
Hotuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017. -Date Posted: 20-05-2016

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo