Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Rais wa Zanzibar Dkt Shein afanya mazungumzo na Rais wa jamhuri ya muungano Dkt Magufuli Ikulu Chamwino Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli katika Ikulu ya Chamwino iliyoko mjini Dodoma. Viongozi hao wawili wamezungumzia mambo mbali mbali kuhusiana na masuala ya kimaendeleo pamoja na kazi kubwa iliyoko mbele yao katika kuleta maendeleo na ustawi wa wananchi wa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha, Dk. Magufuli ameitumia fursa hiyo kumpongeza Dk. Ali Mohamed Shein na kumtakia heri katika siku yake muhimu ya kuzaliwa ambayo ni leo tarehe 13 Machi 2017. Dk. Shein alizaliwa tarehe kama hiyo mwaka 1948 na hivyo kutimiza umri wa miaka 69. Dk. Shein alisema kuwa ameitumia siku yake hiyo ya kuzaliwa kwa kumtembelea Dk. Magufuli ili waweze kubadilishana mawazo kwani wana kazi kubwa ya kujenga nchi pamoja na kuwaletea maendeleo endelevu wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutumia fursa hiyo kumshukuru Dk. Magufuli kwa kumtakia heri katika siku yake hiyo muhimu ya kuzaliwa. “Siku ya kuzaliwa ni siku ya furaha lazima ikumbukwe, lazima isherehekewe, mimi siku yangu ya kuzaliwa sisherehekei sana lakini huwa nafurahi sana na leo nimefurahi sana” amesema Dk. Shein. Dk. Shein ambaye pia, ni Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, amerejea Zanzibar leo akitokea Mkoani Dodoma ambako alishiriki vikao mbali mbali vya CCM, ikiwa ni pamoja na Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika hapo jana. Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo