Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Waziri wa Afya Zanzibar Atembelea Mashine Mpya za Kusagia Takataka za Hospitali ya Mnazi Mmoja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo amesema tatizo la kuharibika kwa mashine ya kusagia taka katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja siku za karibuni kulipelekea kurundikana kwa taka na kusababisha usumbufu kwa wananchi. Amesema baadhi ya wafanyakazi wakorofi wa Hospitali hiyo walitumia kasoro hiyo kuzitupa taka kwenye ufukwe wa bahari, nyuma ya Hospitali, ambapo ni kosa kwa mujibu wa sheria na kanuni za afya na uhifadhi wa mazingira. Waziri Mahmoud ametoa kauli hiyo alipofanya ziara ya kutembelea mashine ya kusagia taka zinazozalishwa katika Hospitali hiyo ambayo hivi sasa imefanyiwa matengenezo na ipo tayari kufanyakazi na kuondosha kero hilo. Amesema wafanyakazi saba waliobainika kufanya kosa la kutupa taka sehemu ya ufukwe wamechukuliwa hatua za nidhamu na kuuagiza uongozi wa Hospitali ya Mnazimmoja kutomvumilia mfanyakazi atakaekiuka kanuni za afya. Hata hivyo Waziri wa Afya amekiri kuwa uzalishaji wa taka katika Hospitali ya Mnazimmoja umekuwa mkubwa kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa baada ya kutanuliwa na kufikia daraja la kuwa Hospitali ya rufaa. Ameyashauri Makampuni yanayohitaji taka kwa ajili ya kuzisarifu na kuzigeuza kwa ajili ya matumizi mengine waonane na uongozi wa Hospitali kwani sehemu kubwa ya taka hizo zinaweza kutumika kwa shughuli nyengine. Amesema hivi sasa uongozi wa Hospitali ya Mnazimmoja umeandaa utaratibu mzuri wa kukusanya taka ambapo za aina moja zinatiwa katika pipa moja na mapipa hayo yamewekwa katika wodi ili kuondosha usumbufu kwa wafanyakazi, wagonjwa na watu wanaofika kwa shughuli mbali mbali. “Nataka wananchi wawe waangalifu wakati wa kuhifadhi taka kwani kila pipa linatiwa taka maalumu na hakuna kuchanganya taka zote katika pipa moja,” alisisitiza Waziri Mahmoud. Amewataka wafanyakazi wa Hospitali kusimamia na kuwaelimisha wananchi matumizi ya mapipa hayo ili kila pipa liingizwe taka zinazostahiki ili kuondosha usumbufu wakati wa zoezi la kuzisaga. Mtaalamu wa mashine ya kusagia taka kutoka Kenya Benard Abere amemueleza Waziri wa Afya kwamba kazi ya kuifanyia matengenezo mashine hiyo imekamilika na katika kipindi cha wiki moja mkusanyiko wa taka utaondoka
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo