Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Bajeti ya SMZ yafikia Trilioni
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepandisha bajeti yake ambapo kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 imepanda kutoka bilioni 841.5 hadi kufikia Trilioni 1,0874 huku vipaombele katika bajeti hiyo ni kuimarisha ubora wa huduma za kijamii zikiwemo elimu, afya, makaazi na upatikanaji wa maji safi na salama. Vipaombele vyengine ni Kuimarisha miundombinu ya uingiaji nchini inayojumuisha bandari na viwanja vya ndege,Kuimarisha miundombinu ya msingi ikiwemo barabara, nishati na kuimarisha Utalii. Akisoma hotuba kuhusu mapendekezo ya bajeti hiyo Waziri wa Fedha na Mipango Dk Khalid Salum Mohammed,alisema utegemezi wa bajeti kutoka kwa wahisani wa maendeleo unatarajiwa kushuka zaidi na kufikia asilimia 7.3. Alisema bajeti hiyo ya mwaka huu wa fedha inaashiria mageuzi makubwa ambayo kwa kiasi kikubwa Serikali itakuwa inatumia yenyewe sehemu kubwa ya mapato yake. Alisema Serikali inatarajia kukusanya mapato ya ndani shilingi bilioni 675.9 na bilioni 380.5 zinatokana na ruzuku na mikopo kutoka nje na bilioni 30.0 za mikopo ya ndani. Akieleza muelekeo wa mapato ya bajeti hiyo alisema, tayari Zanzibar inaonesha kiwango cha juu cha ukusanyaji wa mapato kulingana na uchumi wake ambapo uwiano wa mapato ya ndani na pato la taifa ni asilimia 22.6 kwa mwaka 2016/2017. Hata hivyo alisema uwiano wa mapato wa kodi kwa pato la taifa ni asilimia 12 huku jitihada zaidi zinakusudiwa kuwekwa mwaka 2017 kwa uwiyano wa mapato ya ndani kufikia asilimia 23.5 ya pato la taifa wakati mapato yatokanayo na kodi yakifikia asilimia 22.8 ya pato la Taifa.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo