Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Matayarisho ya Maandalizi ya Ujenzi wa Jengo la Beit Al Jaib Zanzibar.
Matayarisho ya matengenezo ya Jengo la Kihistoria la Mji mkongwe la Beit el Ajaib yameanza rasmi kwa ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Oman Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Issa Makarani Sariboko alieleza hayo wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya maandalizi yanavyoendelea katika jengo hilo Forodhani. Alisema ujenzi wa jengo hilo mashuhuri katika Ukanda wa Afrika Mashariki lililoporomoka mwaka 2012 litagharimu zaidi ya Dola za Marekani milioni nne na nusu na matengenezo yake yatachukua miezi 18. Aliwaeleza waandishi wa habari kwamba wataalamu wazalendo wamemaliza kufanya uchambuzi wa matengenezo hayo na kazi ya ujenzi wa jukwaa kuelekea sehemu ya juu unaendelea. “Tayari wataalamu wetu wamemaliza kufanya ufafanuzi wa jumba lote kuanzia sehemu ya juu iliyoporomoka, sehemu za ndani na eneo la chini ya ardhi ya jengo hilo’’, alisema Mkurugenzi Makarani. Alisema kutakuwa na mchanganyiko wa timu ya wataalamu kutoka nchi za nje na wataalamu wazalendo wa Zanzibar ili kupata ufanisi mzuri wa ujenzi huo. Nae Mkurugenzi wa Makumbusho Salim Kitwana Sururu alisema Serikali ya Oman ilifikia makubaliano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya kulifanyia matengenezo jengo hilo la kihistoria lililohifadhi kumbukumbu muhimu za tawala zilizopita. Muhandisi wa Mji Mkongwe Suhad Sultani Alawi alitoa wito kwa wananchi wanaotumia eneo hilo kuwa tahadhari kubwa wakati wa matengenezo ya jengo hilo kwa kulinda usalama wao.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo