Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Atembelea Uwanja wa Mao Zanzibar.
Zanzibar inatarajiwa kuwa na uwezo wa kuchezesha michezo Minane ya Kitaifa au Kimataifa kwa siku katika kipindi kifupi kijacho kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Mao Tse Tung uliopo Mperani Mtaa wa Kikwajuni Mjini Zanzibar unaotarajiwa kuwa na hadhi ya Kimataifa. Michezo hiyo itaweza kuchezwa katika Viwanja vya Mao Tse Tung, Amani Stadium pamoja na ule wa Gombani kisiwani Pemba ambapo michezo hiyo inaweza kuchezeshwa katika vipindi viwili ndani ya siku moja. Kauli hiyo imeyolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Zanzibar Omar Hassan Omar { Omar King} wakati akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefanya ziara fupi ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Ujwanja huo. Omar Hassan alisema Uwanja wa Mao Tse Tung pekee unaweza kuchezeshwa michezo Sita kwa wakati Mmoja ikiwemo Miwili wa Mchezo Maafuru wa Soka jambo ambalo limeleta faraja kwa Wizara, Serikali pamoja na wapenda michezo Nchini. Alisema hatua za ujenzi wa uwanja huo hivi sasa zimefikia asilimia 95% ambapo Wahandisi wa Ujenzi huo kutoka Jamuhuri ya Watu wa China wanatarajiwa kukabidhi Uwanja huo Mwezi Ujao wa Nane kwa Awamu ya kwanza wakati Awamu ya Pili watakamilisha kukabidhi rasmi ifikapo Mwezi wa Oktoba Mwaka huu. Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Zanzibar alimueleza Balozi Seif kwamba Uwanja huo pia una uwezo wa kuongeza sehemu za Michezo ya Mpira wa Mikono na Vikapu iwapo Uongozi wa Taasisi hiyo utahisi upo umuhimu wa kufanya hivyo hapo baadae. Alieleza kuwa Wahandisi wa ujenzi huo hivi sasa wanaendelea kukamilisha kazi ndogo ndogo baada ya kumaliza uwekaji wa Nyasi Bandia katika viwanja vyote viwili wa mchezo wa soka, Osifi, vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji pamoja na vyoo 48 vilivyojengwa ndani ya uwanja huo. Akitoa shukrani zake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Zanzibar inazidi kupaa kimichezo kutokana na kuimarika kwa Miundombinu kwenye Sekta ya Michezo hasa Viwanja vya Soka. Balozi Seif alisema Serikali Kuu itazingatia mipango maalum itakayosaidia kuimarika kwa upatikanaji wa vifaa vitavyotumiwa na Wanamichezo wa Michezo tofauti Nchini. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alielezea masikitiko yake kutokana na kupotea kwa Mchezo wa Magongo ambao uliiletea sifa kubwa Zanzibar Kimataifa kutokana na umahiri wa wachezaji wake kipindi hicho. Hata hivyo Balozi Seif alionyesha matumaini yake ya kufufuka tena kwa mchezo huo unaochangia pia ongezeko la Watalii Nchini kutokana na hatua kubwa zinazochukuliwa za kuimarisha sekta ya Michezo Nchini.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo