Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
Government News Highlights
Rais Dk Shein afanya ziara katika taasisi za kitafiti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein amesema azma ya serikali anayoiongoza ni kuhakikisha kuwa tafiti za Mifugo na Afya zinafanyika Zanzibar badala ya kufanyika nje ya Zanzibar. Amesema kuundwa kwa Taasisi za kitafiti na kujengewa uwezo Taasisi hizo ni hatua muhimu itakayo chochea kasi ya maendeleo na kupunguza gharama. Rais Shein ameyasema hayo alipofanya ziara katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dole Wilaya ya Magharibi A na eneo la Binguni ambapo Hospital ya Rufaa itakayojumuisha Taasisi ya Utafiti ya Afya inajengwa. Akiwa katika Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dkt Shein ameridhishwa na maendeleo ya Taasisi hiyo ikiwemo ukarabati wa majengo mbalimbali na shughuli za kitafiti zinazoendelea katika Taasisi hiyo. Dkt Shein alijionea Tafiti zinazoendelea katika Taasisi hiyo ikiwa ni pamoja na ufugaji wa kuku wa Kienyeji na chakula cha Samaki. Aidha ameahidi kuendeleza mashirikiano yake kwa Taasisi hiyo ikiwa ni pamoja na kusaidia kuiwezesha kifedha ili kukidhi bajeti ya Taasisi hiyo. Akiwa Binguni Dkt. Shein aliweza kukagua mipaka ya eneo ambalo Hospital ya kisasa ya Rufaa inatarajiwa kujengwa. Amezitaka Taasisi zinazohusika na eneo hilo kuhakikisha wanafanya marekebisho ya upimaji wa eneo hilo ili kurahisisha ujenzi wa Hosptiali hiyo. Ujenzi huo ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ambapo Dkt Shein aliahidi kuijenga Hosptal hiyo katika mikutano ya kujinadi kuchaguliwa. Akielezea kwa undani Dktk Shein amesema Tayari Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeshaomba Fedha za Mkopo na kwamba kila kitu kimeenda sawa hivyo ujenzi unaweza kuanza mara tu fedha zitakapopatikana. Dkt Shein amewataka Wananchi kujitolea kwa hali na mali ili kufanikisha ujenzi huo pale utakapo anza. Katika Ujenzi huo kutakuwa na Hospital ya Rufaa na Taasisi ya Utafiti wa Afya na nyumba za Wafanyakazi. Awali akitoa Salamu za Kichama Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt Abdallah Sadala amempongeza Dkt Shein kwa kuendelea kuitekeleza vyema Ilani ya CCM kama alivyoahidi kwa wananchi na hivyo kuomba wananchi waendelee kumuunga Mkono.
Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo