Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
News Highlights
Welcome Message from President
The Wesite is Under ConstructionRead more...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Azungumza na Uongozi wa Kampuni ya MOBH Nchini Dubai
Date Posted:2018-09-20 08:20:18
Safari ya Zanzibar kuelekea katika mtazamo wa matarajio ya kuwa Dubai ya Afrika Mashariki inaanza kuchipua kidogo kidogo kufuatia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutiliana saini Mkataba na Kampuni ya Kimataifa ya Mohammed Omar Bin Haider Holding Group { MOBH } ya Nchini Dubai. Saini ya Mkataba
Read more...
Madaktari Mabingwa Kutoka Taasisi ya Head Inc Wanadiaspora Kutowa Huduma ya Afya Kwa Wananchi wa Zanzibar
Date Posted:2018-09-19 08:10:19
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongeza juhudi za makusudi zinazochukuliwa na Wanadiaspora katika kuiunga mkono nchi yao ya asili katika kuimarisha sekta mbali mbali za maendeleo ikiwemo sekta ya afya. Pongezi hizo zimetolewa na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akiwemo Waziri wa
Read more...
Tanzania Kukaribisha Wawekezaji wa Nje Kutumia Fursa Ziliopo.
Date Posted:2018-09-19 08:07:18
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema sababu kubwa inayoifanya Tanzania kukaribisha wawekezaji wa nje kutumia fursa zilizopo inatokana na hali ya Utulivu na Amani inayoambatana na uwepo wa vivutio vya Utalii kama fukwe pamoja na mbuga za Wanyama. Alisema Serikali zot
Read more...
Wazazi na Walezi Watakiwa Kutowa Ushirikiano na Serikali Katika Vitendo Vya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar
Date Posted:2018-09-19 07:59:05
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe, Riziki Pembe Juma aliwataka wazazi na walezi kutoa ushirikiano na Serikali kuhakikisha vitendo vya uzalilishaji vinaondoka nchini . Hayo alisema leo huko katika kiwanja cha kufurahishia watoto kariakoo wakati wa mdahalo wa wazi wa kupokea maoni ya wananchi
Read more...
Previous News

Official Reports
MUONGOZO WA KUOMBA KIBALI CHA UTAFITI-Date Posted: 17-09-2018
FOURTH SCHEDULE (KIAMBATANISHO)-Date Posted: 17-09-2018
RESEARCH/FILMING APPLICATION FORM -Date Posted: 17-09-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 25-07-2018
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019-Date Posted: 10-05-2018

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo