Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
News Highlights
Welcome Message from President
The Wesite is Under ConstructionRead more...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Awatunuku Stashahada, Shahada na Uzamivu Wahitimu wa SUZA leo
Date Posted:2018-02-16 08:12:58
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali pamoja na Tume ya Mipango kufahamu mahitaji ya Serikali kwa kila fani kwa kila mwaka. Kwa kufanya hivyo, S
Read more...
Balozi Seif afungua Kongamano la Taasisi za Kiraia katika Ukumbi wa Mikutano wa Zanzibar Beach Resort
Date Posted:2018-01-25 13:12:08
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapindiuzi ya Zanzibar inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaoendelea kutolewa na Taasisi za Kiraia katika kuisaidia Serikali na Wananchi kukabiliana na tatizo la umaskini Nchini. Alisema mchango unaotolewa na Taasisi
Read more...
Balozi Seif: Serikali haitomuonea huruma mtu yeyote akijenga sehemu bila ruhusa
Date Posted:2018-01-24 19:11:35
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameonya na kusisitiza kwamba Serikali haitomuonea huruma Mtu ye yote atakayeamua kujenga Nyumba au jengo lolote katika eneo lisilopata ridhaa ya Taasisi inayohusika na masuala ya Ujenzi, Ardhi, Mipango Miji na Vijiji. Alisema hivi sasa ip
Read more...
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akutana na kufanya mazungumzo na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Makhtoum
Date Posted:2018-01-24 19:05:47
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Makhtoum, Makamo wa Rais na Waziri Mkuu wa nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Dubai ambapo viongozi hao wameahidi kushirikiana katik
Read more...
Previous News

Official Reports
Hutuba ya Kilele cha Sherehe ya Mapinduzi Zanzibar January12, 2018-Date Posted: 15-01-2018
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. KHALID SALUM MOHAMED KUHUSU MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI (MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI) KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 -Date Posted: 16-06-2017
RATIBA YA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI UTAKAOJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018-Date Posted: 10-05-2017
TAARIFA YA SHUGHULI ZA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMBAO UTAJADILI BAJETI YA SERIKALI UTAKAOANZA TAREHE 10 MEI, 2017.-Date Posted: 10-05-2017
A Bill for an Act to repeal the Zanzibar Electoral Commission Act, No. 9 of 1992-Date Posted: 17-02-2017

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo