Afya

Image

Wizara ya afya ya Zanzibar inasimamia masuala yote yanayohusiana na Afya wizara ya Zanzibar. Mwazoni mwa miaka ya 90, wizara ilianza mchakato wa wauguzi ambao ulijiandaa kikamilifu mnamo 2002,
Mipango mkakati wa secta ya Afya ya ZHSPSP I 2002/03 - 2006/07 ambayo ilifuatiwa na ZHSPS II 2006/07 - 2010/11 zilianzishwa kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Zanzibar ya 1999. Mabadiliko
 hayo yalitafuta kupanua Mipango, kuweka kipaumbele kuunganisha huduma za afya katika ngazi za wilaya kwa kuongeza, Marekebisho hayo yalileta  kuhakikisha kupatikana kwa huduma bora za hali ya juu kwa Wazaznibar wote wenye magonjwa kipaumbele au mzigo wa wagonjwa na kulingana na kifurushi
cha  huduma ya Afa inahitajika.
 

 Sekta ya Afya ya Zanzibar ilifanya marekebisho ya mpango mkakati kwa ajili ya  kugawanya majukumu, kuweka vipaumbele na kuunganisha huduma za afya katika ngazi za wilaya. Kwa kuongezea, marekebisho hayo yalilenga na kuhakikisha unapatikanaji wa huduma bora na za hali ya juu kwa Wazanzibari wote kwa kuyapa kipaumbele magonjwa maalumu na huduma za Afya zinazohitajika.
Kipengele hiki kinatoa maelezo  juu ya huduma, sera na miongozo ya kiafya kwa  wananchi wote.

Hon Nasor Ahmed Mazur
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee,Jinsia na Watoto 

Mhe. Nassor Ahmed Mazrui

Angalia Taarifa Binafsi

Website

https://www.mohz.go.tz/

Pitia Tovuti