Afisi ya Rais, Fedha na Mipango

Image
Afisi ya Rais Fedha na Mipango imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 kifungu namba 104 na Sheria ya Tume ya Mipango namba 3 ya mwaka 2012
yenye jukumu la kusimamia upatikanaji na matumizi bora ya Fedha za Serikali pamoja na kuandaa Mipango
madhubuti ya maendeleo ya nchi.
 
Mhe. Jamal Kassim Ali
Mhe. Jamal Kassim Ali

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Fedha na Mipango

 Angalia Taarifa Binafsi

Tovuti

Pitia Tovuti