Kilimo & Umwagiliaji

Image

Sekta ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ina jukumu kubwa la kuchangia pato la ndani la taifa, majukumu makubwa ni pamoja na kuandaa na kusimamia miradi ya kilimo ya kiteknolojia za kisasa, ili kuongeza tija kupitia mfumo endelevu wa maliasili. Vilevile inawajibika katika Kulinda, kuhifadhi na kuendeleza rasilimali za misitu na maliasili zisizorejesheka kwa faida ya jamii, uchumi na mazingira ili kulinda vizazi vya sasa na vijavyo pamoja na Kuimarisha huduma za matibabu ya kilimo na ufugaji.

Kipengele hiki kinaelezea huduma, sera, kanuni na miongozo kuhusiana na kilimo, uvivu na ufugaji.

  • Kusimamia na kutoa huduma za kiufundi na ukarabati wa vifaa vya kilimo na kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kilimo.
  • Kutoa elimu kwa wakulima na pia kuhimiza utumiaji wa zana za kisasa za kilimo na pembejeo.
  • Uhifadhi na ukaguzi wa mazao na matibabu ya mimea.
  • Kuimarisha, ulinzi katika maeneo yaliyohifadhiwa ya baharini
  • Kupata vibali vya kusafirishia mazao
  • Kutoa mbegu na mbolea mbalimbali za kilimo
  • Kutoa dawa za kutibu wanyama
  • Maombi ya kibali cha usafirishaji mazao
  • Application for Ex gratia Sanction for Sheep and Goat deaths
Maruhubi Nyangumi House
P.O.BOX 159,Zanzibar
Tel: +255-24-2233320
Fax: +255-24-2238512
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Hon. Soud Nahoda
Waziri wa Kilimo, na Umwagiliaji, Mali Asili na Mifugo 

Mhe. Soud Nahodha Hassan

taarifa  Binafsi

Website

http://www.kilimoznz.go.tz

View Website