Mambo ya Nje na Ushirikiano

Image

Sekta ya Muungano ambayo inawakilisha mambo ya kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ina jukumu la kidiplomasia, sera za kigeni,  na kusimamia masuala ya dipinafanya kazi Misheni yake ya kidiplomasia nje ya nchi na uhusiano wake na nchi zingine.

kipengele hiki kinaelezea taratibu zinazohusiana na pasipoti, huduma za visa na taarifa za ubalozi. Raia wa Tanzania ambaye anakaa nje ya nchi anaweza kupata habari kuhusu miradi, vitendo, huduma za visa na vifaa vingine vinavyotolewa na Wizara.

 • Maombi ya Pasipoti
 • Huduma za Visa
 • P.O. Box 2933,
  Dodoma, Tanzania. 
  Phone: +255-26- 2323201-7
  Fax: +255-26-2323208
  E-mail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.  or This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Hon.Pro. Palamagamba
Waziri

mhe. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi

Angalia Taarifa Binafsi

Tovuti

https://www.foreign.go.tz/

Pitia Tovuti