WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Image

Wizara ya mambo ya ndani ni muhimu katika  kuhakikisha kuwa mambo yote yanayohusiana na  usalama wa ndani ya nchi yako salama. Wizara hii ni ya Muungano na dhamira kuu ni "kuokoa maisha na mali, kuwezesha na kudhibiti harakati za wageni na wasio wageni, kusaidia wakimbizi na kurekebisha wafungwa kwa kupitia utekelezaji wa sheria na kanuni husika”.  Katika kipengele hiki kitakupa taarifa zinazohusiana na Wizara, huduma za kimtandao zinazopatikana pamoja na  mambo mengine.

 • Usalama wa jamii na
 • Kutoa msaada wa kisheria kwa Jamii.
 • Jinsi ya kufuatilia malalamiko yako.
 • WIZARA YA MAMBO YA NDANI,
  PSPF Dodoma Plaza,
  Benjamini Mkapa Road,
  P. O. Box  2916,

  Telephone:  +255-26-2963501
  Fax: +255-2122617/2120486
  e-mail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. or This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 

Mhe. George Boniface Simbachamwene
Waziri wa Mambo ya Ndani

Mhe. George Boniface Simbachawene

Angalia Taarifa Binafsi

Tovuti

www.moha.go.tz 

Pitia Tovuti