Image
Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka  na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazoundwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
  • Makamu wa Kwanza wa Rais
  • Makamu wa Pili wa Rais
  • Baraza la Mapinduzi 
  • Mwanasheria Mkuu wa Serikali
  • Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Othman Masoud Othman
Mhe. Othman Masoud OthmanMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
Mhe. Hemed Suleiman AbdullaMakamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Mawaziri

Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum
Mhe. Dkt. Saada Mkuya SalumWaziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
Mhe. Mwl. Haroun Ali Suleiman
Mhe. Mwl. Haroun Ali SuleimanWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora
Mhe. Jamal Kassim Ali
Mhe. Jamal Kassim AliWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Fedha na Mipango
Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
Mhe. Nassor Ahmed MazruiWaziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto
Mhe. Soud Nahoda Hassan
Mhe. Soud Nahoda HassanWaziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo
Mhe. Simai Mohamed Said
Mhe. Simai Mohamed SaidWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe. Suleiman Masoud Makame
Mhe. Suleiman Masoud MakameWaziri wa Maji, Nishati na Madini
Mhe. Abdalla Hussein Kombo
Mhe. Abdalla Hussein KomboWaziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi
Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji
Mhe. Dkt. Mwinyi Talib HajiMwanasheria Mkuu wa Serikali
Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed
Mhe. Dkt. Khalid Salum MohamedWaziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi
Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga
Mhe. Mudrik Ramadhan SoragaWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uekezaji
Mhe. Masoud Ali Mohammed
Mhe. Masoud Ali MohammedWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Mhe. Tabia Maulid Mwita
Mhe. Tabia Maulid MwitaWaziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo
Mhe. Omar Said  Shaaban
Mhe. Omar Said ShaabanWaziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda
Mhe. Lela Muhamed Mussa
Mhe. Lela Muhamed MussaWaziri wa Utalii na Mambo ya Kale
Mhe. Riziki Pembe Juma
Mhe. Riziki Pembe JumaWaziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi
Mhe. Rahma Kassim Ali
Mhe. Rahma Kassim AliWaziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi
Mhandisi Zena Ahmed Said
Mhandisi Zena Ahmed SaidKatibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi