Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Image

Utumishi wa Umma na Utawala Bora ni miongoni mwa sekta muhimu za Serikali. Ikiwa na jukumu la kuboresha, kuendesha na kudumisha misimamo ya kisheria na maadili kwa  wafanyakazi, wasimamizi na jamii kwa jumla. Vilevile kusimamia masuala ya ajira zinazotolewa serikalini

Kipengele hiki kinatoa maelezo kuhusiana na huduma, sera, kanuni na miongozo zinazohusiana na Utumishi ndani ya Serikali pamoja na Utawala bora.

  • Kupokea, kufatilia taarifa za rushwa na uhujumu uchumi.
  • Kutangaza na kuratibu ajira ndani ya Serikali.
  • Sheria ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • maombi ya tathmini ya rasilimali watu
  • miongozo ya usimamizi wa utumishi wa umma
 
   Afisi Kuu
   S.L.P 3356
   Zanzibar, Tanzania
   Simu: +255 024 2230038
   Nukshi: +255 024 2230027
   Mobile: +255 77 000000

Mhe. Haroun Ali Suleiman
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora.

Mhe. Haroun Ali Suleiman.

Angalia Taarifa Binafsi

Tovuti

www.utumishismz.go.tz   

Pitia Tovuti