Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi

Image
Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi ina jukumu la kuratibu na kusimamia utendaji wa shughuli za Serikali  ya Mapinduzi ya Zanzibar na masuala ya muungano. Aidha,majukumu mahasusi ya Afisi yetu ni pamoja  na kutoa huduma bora kwa 
Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais,kujenga uhimili wa jamii katika kukabiliana maafa kuanda na kuratibu sherehe na maadhimisho ya kitaifakuratibu Masuala ya MuunganoKuratibu shughuli za Serikali za Mapinduzi ya zanzibar kwa upande wa Tanzania Bara; Kuratibu na kusimamia Shughuli za Baraza la wawakilishi na tume ya Uchaguzi zanzibar.
 
 • Kutoa huduma bora kwa Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais.
 • Kuratibu shughuli zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na za Muungano, ikiwemo miradi iliyo chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya SMZ.
 • Kuratibu shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 • Kuratibu na kusimamia shughuli za utafiti kitaifa.
 • Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala. 
 • Kujenga uhimili wa jamii katika kukabiliana na maafa.
 • Kusimamia na kuratibu Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja na shughuli za kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.
 • Kusimamia shughuli za Upigaji chapa Serikalini.
 • Kuratibu shughuli za Tume ya Uchaguzi.
 • Kuratibu shughuli za Baraza la Wawakilishi
 • www.zanzibarassembly.go.tz 
 • www.zec.go.tz 
 • www.maafaznz.go.tz 
 • www.zgfccm.go.tz 

   Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar. 

   Mtaa wa Vuga 

   S.L.P 239 

   Simu: +255 242231126 

   Nukushi (Fax): +255 242233788 

   email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 

   Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar. 

   S.L.P 239 chake chake - Pemba 

   Simu:  0245-2764 

   Nukushi (Fax): 0245-2764 

   Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.  

   Afisi ya Uratibu Shughuli za SMZ 

   Barabaraya Luthuli 

   Nyumba Nam.14 

   S.L.P 6862, 

   Dar es salaam. 

   simu:022 2136332 

   nukushi: 022 2136332  

   email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 

 

Mhe. Khalid Salum Mohamed

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi.

Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed.

Angalia Taarifa Binafsi

Tovuti

www.ompr.go.tz

Pitia Tovuti